Nahitaji kreti za soda

djesco

Senior Member
Jun 26, 2013
166
52
Habari wakuu naombeni kama kuna mtu yeyote anaye anayeuza uza kreti za soda zenye chupa aniuzie au hata kama una chupa tupu hata kuanzia kumi pia sio mbaya kama utaniuzia kreti na chupa zake tsh.5000/= na chupa tupu nanunua kila moja tsh.100.Nipo dar es salaam, 0772424808
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom