Hali zenu wadau naomba kuuliza wapi nitapata korosho zilizibanguliwa kwa wingi, nahitaji kununua kwa wingi, kama kuna mhusika au anafahamu wapi zinapatikana naomba anijulishe