Hajto JF-Expert Member Sep 30, 2013 5,616 5,533 Oct 9, 2021 #1 Habari zenu waungwana, nahitaji kontena la futi 20, bajeti yangu milioni 2.......Likipatikana leo itapendeza zaidi
Habari zenu waungwana, nahitaji kontena la futi 20, bajeti yangu milioni 2.......Likipatikana leo itapendeza zaidi
C Chifu Sanze JF-Expert Member Jul 20, 2021 3,353 6,859 Oct 9, 2021 #2 Hajto said: Habari zenu waungwana,nahitaji kontena la futi 20,bajeti yangu milioni 2.......Likipatikana leo itapendeza zaidi Click to expand... Kwahiyo umesikia tetesi unahitaji kontena!
Hajto said: Habari zenu waungwana,nahitaji kontena la futi 20,bajeti yangu milioni 2.......Likipatikana leo itapendeza zaidi Click to expand... Kwahiyo umesikia tetesi unahitaji kontena!
Hajto JF-Expert Member Sep 30, 2013 5,616 5,533 Oct 9, 2021 Thread starter #4 Nipo huru said: Kwahiyo umesikia tetesi unahitaji kontena! Click to expand... Nahitaji kweli kontena
Extrovert JF-Expert Member Feb 29, 2016 67,591 175,816 Oct 9, 2021 #5 Hajto said: Habari zenu waungwana,nahitaji kontena la futi 20,bajeti yangu milioni 2.......Likipatikana leo itapendeza zaidi Click to expand... Huwezi kuwa serious! Container la hizo dimensions umepewa 3.5M budget unataka kuleta janja janja 😅
Hajto said: Habari zenu waungwana,nahitaji kontena la futi 20,bajeti yangu milioni 2.......Likipatikana leo itapendeza zaidi Click to expand... Huwezi kuwa serious! Container la hizo dimensions umepewa 3.5M budget unataka kuleta janja janja 😅
Extrovert JF-Expert Member Feb 29, 2016 67,591 175,816 Oct 9, 2021 #6 Hajto said: Nahitaji kweli kontena Click to expand... Container unalolitaka wewe upo wapi? Je, utalisafirisha ama matumizi yake ni gani?
Hajto said: Nahitaji kweli kontena Click to expand... Container unalolitaka wewe upo wapi? Je, utalisafirisha ama matumizi yake ni gani?
Hajto JF-Expert Member Sep 30, 2013 5,616 5,533 Oct 9, 2021 Thread starter #7 Extrovert said: Container unalolitaka wewe upo wapi? Je, utalisafirisha ama matumizi yake ni gani? Click to expand... Nipm namba yako ya simu tuzungumze
Extrovert said: Container unalolitaka wewe upo wapi? Je, utalisafirisha ama matumizi yake ni gani? Click to expand... Nipm namba yako ya simu tuzungumze
M maliyamungutu Member Oct 6, 2021 6 4 Oct 9, 2021 #8 Hajto said: Nipm namba yako ya simu tuzungumze Click to expand... njoo lipo mbeya chapa
M maliyamungutu Member Oct 6, 2021 6 4 Oct 9, 2021 #9 Hajto said: Nipm namba yako ya simu tuzungumze Click to expand... chap
marion09 Member Sep 26, 2012 80 57 Dec 14, 2021 #11 maliyamungutu Niko Mbarali, Nina uhitaji wa kontena 20 feet na offer yangu ni 2M.. Nicheki Dm tuwasiliane zaidi
maliyamungutu Niko Mbarali, Nina uhitaji wa kontena 20 feet na offer yangu ni 2M.. Nicheki Dm tuwasiliane zaidi
marion09 Member Sep 26, 2012 80 57 Dec 17, 2021 #13 Marire said: Lipo la 40ft Bei 6.5m jipyaa Click to expand... Hilo kubwa sana chief... 20 feet tafadhali
Marire said: Lipo la 40ft Bei 6.5m jipyaa Click to expand... Hilo kubwa sana chief... 20 feet tafadhali