Nahitaji kiwanja Dar es salaam

Nahitaji kiwanja Dar es salaam

ally ndunda

Member
Joined
Jun 2, 2013
Posts
23
Reaction score
3
Kiwanja nahitaji nje ya Dar kwa tsh Laki tano tu. 500,000. Eneo nnalokusudia nipate ni maeneo ya Kibaha Chalinze mlandizi kimanzichana na kuendelea Kibindu.

Tuwasiliane in box
 
Amekusudia milioni tano ila amekosea kuandika jamani huwa inatokeaga mbona.
 
atapata soon hali ni mbaya viwanja vinaporomoka bei kwa kasi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom