Mh, DDC ndo nini?vya makampuni vingi vinakua na sifa izi
1. kwa bajeti yangu kiwanja nitakachopata mji unakua bado maendeleo kama maji na umeme sababu wanachukua mapori na kukata kata viwanja
2. kiwanja kidogo tu bei kubwaa
3.makampuni mengi waongo mfano unakuta wamechukua pori la bagamoyo kiromo wanakata kata viwanja wanauza kumbe ni eneo lipo kwenye hifadhi ya bandari bagamoyo unakuja shtuka umepigwa
4.makampuni yanadanganya vuwanja vimepimwa ukimaliza kulipia hakuna hati wala nn kumbe ni viwanja vya DDC kama kule bunju mpaka raisi kaingilia kati kaamua tu waliojenga wanunue sqm moja kwa sijui buku ika ambao hawajajenga watanunua kama kawaida ivyo unanunua kiwanja mara 2
Pia ushapata hicho kiwanja?vya makampuni vingi vinakua na sifa izi
1. kwa bajeti yangu kiwanja nitakachopata mji unakua bado maendeleo kama maji na umeme sababu wanachukua mapori na kukata kata viwanja
2. kiwanja kidogo tu bei kubwaa
3.makampuni mengi waongo mfano unakuta wamechukua pori la bagamoyo kiromo wanakata kata viwanja wanauza kumbe ni eneo lipo kwenye hifadhi ya bandari bagamoyo unakuja shtuka umepigwa
4.makampuni yanadanganya vuwanja vimepimwa ukimaliza kulipia hakuna hati wala nn kumbe ni viwanja vya DDC kama kule bunju mpaka raisi kaingilia kati kaamua tu waliojenga wanunue sqm moja kwa sijui buku ika ambao hawajajenga watanunua kama kawaida ivyo unanunua kiwanja mara 2
Mimi siyo mdogo kihivyo ila kujua kilakitu haiwezekani. Kiwanja ulipata?DDC ni dar es salaam development corporation ( shirika la maendeleo dar esalaam ) walikua wanamiliki kumbi za DDC,viwanja na nk kama wewe ni mtoto wa 2010 huwezi elewa
Milioni 30 mbona parefu hivyo duhNina jamaa yangu yupo kwembe njoo pm, kuna 15x40 kipo mlimani kidogo anataka 30m na kingine 15x10 wanataka 5m ila unaongea nao wanakuongezea njoo uchukue) km5 toka luguruni,kwa mkuu wilaya ya ubungo kituo kimoja kufika kibamba, morogoro rd hiyo
Nina jamaa yangu yupo kwembe njoo pm, kuna 15x40 kipo mlimani kidogo anataka 30m na kingine 15x10 wanataka 5m ila unaongea nao wanakuongezea njoo uchukue) km5 toka luguruni,kwa mkuu wilaya ya ubungo kituo kimoja kufika kibamba, morogoro rd hiykuu halafu 10 kwa 15 hakiwezi kupimwa kamwee maana sqm 150 ni ndogo sana
mkuu sqm 150 ni ndogo sana iyo bora hata ingekua 300 maana kupimwa icho hakiwezi kamweNina jamaa yangu yupo kwembe njoo pm, kuna 15x40 kipo mlimani kidogo anataka 30m na kingine 15x10 wanataka 5m ila unaongea nao wanakuongezea njoo uchukue) km5 toka luguruni,kwa mkuu wilaya ya ubungo kituo kimoja kufika kibamba, morogoro rd hiyo
Pungufu unaongea boss, pale kidogo kumejipanga vizuriMilioni 30 mbona parefu hivyo duh
DDC Pia ni District Development Company. Zilikuweko kila wilaya enzi hizo za late 60's hadi early80's.DDC ni dar es salaam development corporation ( shirika la maendeleo dar esalaam ) walikua wanamiliki kumbi za DDC,viwanja na nk kama wewe ni mtoto wa 2010 huwezi elewa
Kina hati?Pungufu unaongea boss, pale kidogo kumejipanga vizuri
Hawa DDC ni matapeli usiingie mkenge kwenda kununua viwanja wanavyopima hasa eneo la madale na mbopoDDC ni dar es salaam development corporation ( shirika la maendeleo dar esalaam ) walikua wanamiliki kumbi za DDC,viwanja na nk kama wewe ni mtoto wa 2010 huwezi elewa
Duuh huko kutakuwa na uswahili sana hivi hilo jina KWA BIG VUZI mtu mzima anaweza kulitamka kwa mtoto mdogo kwelKwa bajeti yako sehemu utakayo pata kiwanja ni kiluvya madukani uelekeo wa Makurunge,Zahanati, Kwa big Vuzi, Caanan,Mwana Kondoo mpaka kwa masister na inatakiwa uwe makini usinunue pasipo kujiridhisha.
Huyu Big Vuzi ndio mkongwe alikuwa na maeneo kibao. Akiuza plot anakula bata, pesa ikiisha anauza nyingine saizi nadhani eneo alilobaki nalo hata akitembea jasho linaweza lisitokeDuuh huko kutakuwa na uswahili sana hivi hilo jina KWA BIG VUZI mtu mzima anaweza kulitamka kwa mtoto mdogo kwel