Kuwa mwangalifu Sana kwenye suala hili, kuna utapeli mwingi Sana kwenye biashara ya kuuza na kununua Ardhi na nyumba kwa hapa Tanzania. Ikiwezekana watumie wataalamu ili waweze kukusaidia kwenye suala hili kwa sababu suala hili la ununuzi wa Ardhi linahusu Mchakato mrefu ambao unahitaji umakini mkubwa sana.habari wakuu naitaji kiwanja cha kununua maeneo ya kiluvya, kibamba, kimara, hata gobaau madale ndani ndani huko mashart ya kiwanja
1. kiwanja kiwe kinamilikiwa na mwenye kiwanja kihalali.
2. sqmt zianzie 400
3. budget iwe haizidi milion 5
4. gari liwe linafika hadi kwenye kiwanja
5.maji umeme viwe karibu
6.kiwanja kisizidi km 20 kutoka morogoro road
kabda ya kununua kiwanja lazima nijihakikishie kwa majirani, serikali za mtaa na hata halmashauri husika kama ni makazi na sio open space au public building au kuna mgogoro, mwisho msururu wa madalali mkae pembeni kama unacho njoo pm
Weka mawasilianohabari wakuu naitaji kiwanja cha kununua maeneo ya kiluvya, kibamba, kimara, hata gobaau madale ndani ndani huko mashart ya kiwanja
1. kiwanja kiwe kinamilikiwa na mwenye kiwanja kihalali.
2. sqmt zianzie 400
3. budget iwe haizidi milion 5
4. gari liwe linafika hadi kwenye kiwanja
5.maji umeme viwe karibu
6.kiwanja kisizidi km 20 kutoka morogoro road
kabda ya kununua kiwanja lazima nijihakikishie kwa majirani, serikali za mtaa na hata halmashauri husika kama ni makazi na sio open space au public building au kuna mgogoro, mwisho msururu wa madalali mkae pembeni kama unacho njoo pm
Usibeze juhudi za huyo mtu Mkuu, Kama shilingi milioni Tano kwako ni hela ndogo Basi kwake ni hela nyingi, tuheshimu juhudi za utafutaji za Watu wengine.Masharti kibao na kimilioni 5 chako cha mkopo
uangalifu upo asilimia mia lazima nijihakikishie umiliki pia nachukua cordinates naenda halmashauri kujihakikishia matumiziKuwa mwangalifu Sana kwenye suala hili, kuna utapeli mwingi Sana kwenye biashara ya kuuza na kununua Ardhi na nyumba kwa hapa Tanzania. Ikiwezekana watumie wataalamu ili waweze kukusaidia kwenye suala hili kwa sababu suala hili la ununuzi wa Ardhi linahusu Mchakato mrefu ambao unahitaji umakini mkubwa sana.
Aidha, kwa bahati mbaya zaidi na kutokana na uzoefu uliopo, maeneo hayo uliyotaja yanaonekana kuwa ni miongoni mwa maeneo nyeti zaidi ambayo yanapendwa Sana na matapeli wa Ardhi katika Mji wa Dsm.
mcheki huyu 0717 796978- Kibaha Mpiji jirani na shule ya Mhezahabari wakuu naitaji kiwanja cha kununua maeneo ya kiluvya, kibamba, kimara, hata gobaau madale ndani ndani huko mashart ya kiwanja
1. kiwanja kiwe kinamilikiwa na mwenye kiwanja kihalali.
2. sqmt zianzie 400
3. budget iwe haizidi milion 5
4. gari liwe linafika hadi kwenye kiwanja
5.maji umeme viwe karibu
6.kiwanja kisizidi km 20 kutoka morogoro road
7.siitaji viwanja vya makampuni ya kuuza viwanja naitaji kiwanja cha mtu binafsi anaeuza
kabla ya kununua kiwanja lazima nijihakikishie kwa majirani, serikali za mtaa na hata halmashauri husika kama ni makazi na sio open space au public building au kuna mgogoro, msururu wa madadali siitaji kama unacho njoo pm
Mkuu wewe ni mtu na nusu, kuanzia comment yako ya juu shows ni mtu ulie positive sana...Barikiwa mkuuUsibeze juhudi za huyo mtu Mkuu, Kama shilingi milioni Tano kwako ni hela ndogo Basi kwake ni hela nyingi, tuheshimu juhudi za utafutaji za Watu wengine.
Kwanini huhitaji vya makampuni?habari wakuu naitaji kiwanja cha kununua maeneo ya kiluvya, kibamba, kimara, hata gobaau madale ndani ndani huko mashart ya kiwanja
1. kiwanja kiwe kinamilikiwa na mwenye kiwanja kihalali.
2. sqmt zianzie 400
3. budget iwe haizidi milion 5
4. gari liwe linafika hadi kwenye kiwanja
5.maji umeme viwe karibu
6.kiwanja kisizidi km 20 kutoka morogoro road
7.siitaji viwanja vya makampuni ya kuuza viwanja naitaji kiwanja cha mtu binafsi anaeuza
kabla ya kununua kiwanja lazima nijihakikishie kwa majirani, serikali za mtaa na hata halmashauri husika kama ni makazi na sio open space au public building au kuna mgogoro, msururu wa madadali siitaji kama unacho njoo pm
kiongozi acha kushangaa ardhi ni pesa na pesa sio kama makalio kwamba kila mtu anayo!Mada za viwanja wachangiji ni Wachache, zingekuwa mada za ngono sasa, tusingepumua humu
Kwani kwenye ngono hamtumii pesa? Wengine wanahonga hela nyingi kuliko ya kununua kiwanja.kiongozi acha kushangaa ardhi ni pesa na pesa sio kama makalio kwamba kila mtu anayo!
vya makampuni vingi vinakua na sifa iziKwanini huhitaji vya makampuni?