Ninacho kiwanja Misugusugu, robo 3 eka. Siuzi.
Kwa nini?Kutokana na ulivyocoment hapa sidhani kama mmiliki halali wa hicho kiwanja ni wewe.
Sasa kwa nini umespond kwenye hiyo post.Ninacho kiwanja Misugusugu, robo 3 eka. Siuzi.
Kwani vipi?Sasa kwa nini umespond kwenye hiyo post.
Kama huwezi kucomment vitu vya msingi,kaa kimya tu.Ninacho kiwanja Misugusugu, robo 3 eka. Siuzi.
Ndo nimecomment hivyo.Kama huwezi kucomment vitu vya msingi,kaa kimya tu.
Nadhani ungeweza ku kaa kimya kwani haumsaidii huyu ndugu aliye post akitafuta kiwanja Kibaha.Ndo nimecomment hivyo.
Ulitaka nikomenti vipi?
Ndo nimecomment hivyo.
Ulitaka nikomenti vipi?
Unataka kugongwa au shobo za kingese??tulia na comment vitu vya maana kwenye jambo serious.