Nahitaji kituo kizuri kwa kusoma A level form 5 na 6

Nenda kasome Azania utaweza kusoma na wanafunzi wa pale na pili kama unapenda kutoboa usiku pale unasoma mpaka asubuhi ila kuna mbu wengi sana
 
Back
Top Bottom