Habari wanajamvi naamini humu wapo wajasiriamali waliojikita katika biashara ya furniture ama useremala.
Nahitaji:
Kitanda, mbao ya mkarati, kiwe futi 6 kwa 6
Kabati la milango mitatu, mbao mkarati
Dressing table mbao mkarati
Kwa yeyote ambae anabiashara hii nifate inbox au post namba yako ya simu. Popote kwa dar ama Pwani naweza kukufata ama utaweza kunisafirishia pia haina noma. Muhimu maelewano.