Ndugu wana jamii naomba msaada wa namna ya kudownload kitabu hiki
"medica imaging techniques reflection and Evaluation" au kama kuna mtu ana link ya kukidown load anisaidie.
Kwenye jalada lake picha kinaonekana kama picha niliyoambatanisha hapo kwenye post hii.
Ahsanteni