Nahitaji kioo cha samsung J4 plus

Nahitaji kioo cha samsung J4 plus

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,675
Reaction score
2,117
Nna hitaji kioo hicho kama unacho nicheki 0674916716
 
Andaa 350,000 bei ya infinix s4
Sio kweli haizidi 140 kawadanganye wajinga ww....hayo ma infinix sjui itel sjui tecno tumieni wenyewe huko hata kama ni laki 5 tatoa....na nmegundua ufahamu wako ni finyu yaani iyo 350 unapata J4 + mpya sa itakuaje bei ya kioo
 
Samsung mnakamatwa masikio Wachaga wa Kishumundu. Simu unachaji kila siku (usiku mzima ndo ijae) Mpango mzima ni infinix bei nafuu ,kitu classic. Endelea kutafuta spare za Samsung kwa bei ya simu mpya
 
Kuna uwezekano nabishana na mtu ambae ye simu kwake ili mradi iwe na social network anazozpenda na zpo pia kwenye simu hodari basi akiona samsung note 9 ina whatsapp na yeye kwenye infinix ipo basi aaah anaona simu zko sawa tu hafikilii mara 2
 
Sumsung J2 Niliambiwa kioo 150 Nikachoka, Kiukweli Sumsung spea Zao bei juu sana
 
Hzo tecno sjui infinix hata wachina wenyewe hawatumii unadhan wao ndo hawapend vya bei rahisi eeh hapa duniani kuna mtu hapend kitu cha bei rahisi wachina ndo wanunuzi wakubwa wa iphone duniani inayofata hapo ni samsung....kuhusu chaji acha kudanganya watu wajinga kamata samsung ya kisasa uone achana na samsung S3 au S4 au note 1 au 2 au 3 kamata Kuanzia S6 au kuanzia note 5 ndo utaona kama hilo la chaji lipo
 
Yaap na ubora pia upo juu spare ya toyota na BMW ni tofauti kabisa nadhan ushaelewa pia spare ya toyo na boxer haziwez kuwa sawa japo zote ni pkpk
Sumsung J2 Niliambiwa kioo 150 Nikachoka, Kiukweli Sumsung spea Zao bei juu sana
 
Kuna uwezekano nabishana na mtu ambae ye simu kwake ili mradi iwe na social network anazozpenda na zpo pia kwenye simu hodari basi akiona samsung note 9 ina whatsapp na yeye kwenye infinix ipo basi aaah anaona simu zko sawa tu hafikilii mara 2

Hapana mkuu. Hapa Bongo kuna watu wanaopenda vitu vya bei mbaya. Yaani hawataki waonekane watu wa kawaida au wa uwezo wa chini kidogo. Hao ndo huringishia iPhone na Samsung. Lakini anachosema huyo jamaa ni kweli kabisa kuwa kwa "value for money" ukiweka apple kwa apple (yaani mfano Samsung au iPhone ya 2GB/32GB vs TECNO/Infinix ya 2GB/32GB) wa TECNO/Infinix anakuwa amepata value for money nzuri.

Plus hakuna simu inayomshinda TECNO/Infinix kwa kutunza betri. Betri zake zinakaa na chaji muda mrefu hata ukiwa unatumia data, na betri zinadumu kwa muda mrefu pia. Yaani zinahimili charging cycles nyingi.

Binafsi nimetumia Samsung, iPhone, na TECNO nikaikubali TECNO. (Infinix ndo TECNO hao hao). Sema TECNO zamani zilikuwaga hovyo. Kipindi kile Samsung ndo wamekamata soko la Bongo. Kwa hiyo kuna watu wamekremu kuwa TECNO ni simu ya ovyo toka kipindi kile, kumbe imeshaboreshwa sana.

Ila hayo ni mambo ya kiteknikali/kiufundi. Kwa mambo ya swaga, swaga hazinaga hoja. Kwa hiyo iPhone kwa wapenda swaga waache wazinunue.
 
BEI ZA DISPLAY (VIOO).
.
SAMSUNG (S) SERIES.
.
.[emoji383] TSH [emoji383].
.
Samsung s3
Kioo 80,000. - SUPER AMOLED.
.
Samsung s4
Kioo 70,000. -TFT.
kioo 110,000.- SUPER AMOLED.
.
Samsung s5
Kioo 95,000.-TFT.
kioo 170,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s6
Kioo 180,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s6 Edge
Kioo-190,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s6 Edge Plus
Kioo-270,000.-SUPER AMOLED
.
Samsung s7
Kioo 190,000.-SUPER AMOLED.
.
Samsung s7 Edge
Kioo-300,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s8
Kioo-380,000.-SUPER AMOLED .
.
Samsung s8 plus
Kioo-400,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s9
Kioo-400,000-SUPER AMOLED.
.
Samsung s9 Plus
Kioo-420,000-SUPER AMOLED.
.
. ********VIOO NI MPAKA UWEKE ORDER ALAF NDO NIAGIZE INATUMIA WEEK 2 MPAKA KUPATA KIOO CHAKO*************
.
.
PIA VIOO VYA SIM NYENGINE
TUNAAGIZA ...........iPhone,Huawei,Lenovo,Oppo,....Vivo,Xiaomi,Infinix n.k

ℕ𝔹; 𝕍𝕀𝕆𝕆 ℕ𝕀 𝕆ℝ𝕀𝔾𝕀ℕ𝔸𝕃, ℕ𝔸 𝕎𝔸ℝℝ𝔸ℕ𝕋𝕐 𝕐𝔸 𝕄𝕀𝔼ℤ𝕀 𝕄𝕀𝔼ℤ𝕀 𝟞

Tupigie/tutumie ujumbe mfupi (SMS). 0784757203.
#0784757203 .
LOCATION.
Kijichi, Mbagala kuu, Temeke, Dar es Salaam, Tanzania.
 
Back
Top Bottom