Usikate tamaa nitakujulisha.Habari wadau.
Natumai mu-wazima wote, kama mada inavyojieleza wadau nahitaji kioo cha L9+ wakuu mwenye nacho au mwenye kufahamu wapi wanauza naomba msaada wakuu.
Natanguliza Shukran.
Thanks.
Sent using Jamii Forums mobile app
nimekupata mkuu, well done.Ni kweli mkuu nilitaka kufanya hivyo ila nikasema kwanza niwape rizk wanafamilia wenzangu wa JF kabla ya kupeleka sehemu nyingine mkuu.
Shukran.