Nenda katika maduka yao,wanauza vilivyotumika kwa tsh 39000/=.
Bei poa ndo shilingi ngapi?
Wana jamvi, habari za jioni?
Nipo Arusha nahitaji king'amuzi cha startimes kilichotumika kwa bei poa.
Nenda jalala kuu vipo vingi
Jamani tujifunze kulitumia neno tetesi kwa usahihi wake! Tetesi ni jambo la kusikia lisilo na uhakika bado ambalo halijathibitishwa na likithibitishwa hukoma kuwa tetesi