Abby The Rider
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 471
- 750
Mkuu kipo Mbeya huku vip tufanye biashara
Ni kipya, laki na 20
Ninacho nimenunua mwez wa 11 mwaka jana nipe 100,000Wakuu,
Nahitaji hicho King'amuzi Cha Azam, Target yangu ni Used but kikiwa Kipya Ntatabasamu na kukuongezea pesa Nipo Dar es Salaam,
Kiwe katika hali nzuri.
Offer Yangu 70 elfu, ila naweza kukuongezea kulingana hali ya hicho King'amuzi
0776938796.
Karibuni
Ntakucheck Mkuu
Nmekuchek but not reachable
bei ya sokoni sio rafiki na uchumi wa MaguVimeadimika sokoni?
Mkuu uko wap Dar au
Ungekua upo Dar sawa, ila huko duhNinacho ila bila dish, kipo Masasi-Mtwara, ila haipungui elfu 70, nicheck kwa sms 0689735388
Hahaha ila mghoshi muhuni wewe nachekaga na maneno yakoJana nimenunua full gwamba, ni 140,000 cash money!
Dish+Decoder+Makorombwezo mengine!
Ila uzuri ilikuwa hela ya boya, nkampelekea. Mie changu binafsi nilikwara used 70k kwa ukali.
Si uniuzie hicho cha zamanJana nimenunua full gwamba, ni 140,000 cash money!
Dish+Decoder+Makorombwezo mengine!
Ila uzuri ilikuwa hela ya boya, nkampelekea. Mie changu binafsi nilikwara used 70k kwa ukali.
Ungekua upo Dar sawa, ila huko duh
Hahah onga mndee! Ukiwea wea?Hahaha ila mghoshi muhuni wewe nachekaga na maneno yako