Nahitaji king'amuzi cha StarTimes! Nimechoshwa na DSTV

Nahitaji king'amuzi cha StarTimes! Nimechoshwa na DSTV

amatolo

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2017
Posts
690
Reaction score
713
Habari za asubuhi wakuu. Binafsi nmechoma na dstv, nahitaji niongezee king'amuzi cha star times. Naomba mwenye king'amuzi cha startimes complete na dish/antena yake aje inbox au anipigie kwa 0766648847 tumalize biashara. Nipo Mwanza.
 
Nenda dukani kwa elf 69 unapata king'amuzi na antenna yake.
Ila hawana HDMI
 
Back
Top Bottom