Nahitaji king'amuzi cha Azam

Nahitaji king'amuzi cha Azam

a4apple

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
927
Reaction score
1,143
Nipo ubungo hakuna duka la ving'amuzi vya azam naomba anayejua maduka yalipo au mwenye nacho anayeuza aniuzie. Namba ya simu nitampa akinipm
 
Nipo ubungo hakuna duka la ving'amuzi vya azam naomba anayejua maduka yalipo au mwenye nacho anayeuza aniuzie. Namba ya simu nitampa akinipm
Kipo mkuu 125000/=
Tuwasiliane kwa 0686811173/0764453848
 
Nenda mbezi mwisho karibu na kipasika dispensary na fundi utapewa hapo hapo.
 
Back
Top Bottom