Nahitaji Kijana wa Kupika Chips

Ishemo

Senior Member
Joined
Mar 6, 2015
Posts
194
Reaction score
128
Habari zenu wana JF
Nahitaji kijana wa kiume wa kukaanga chips na kuchoma nyama.
Vigezo:
1. Awe anajua kupika chips vizuri
2. Awe anaweza kuchoma aina mbalimbali za nyama
3. Mchangamfu na mwenye heshima na busara kwa wateja
Mahali pa kazi:
- Ubungo DSM
Wasiliana na mimi kwa Private Message
Au namba:0624052527
Mshahara ni maelewano kwa kijana nitakayeona anakidhi vigezo:
Asanteni
Natanguliza shukrani
 
Huwezipata kijana wa dizaini hiyo kwasabu CHIPSI hazipikwi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…