Sidee01 Member Joined Aug 28, 2022 Posts 30 Reaction score 167 Sep 26, 2022 #1 Jamani nahitaji msaada wa kazi yoyote ya halali, maana hali ni mbaya kwangu. Niko tayari kwa kazi yoyote, maana ntaisha kwa njaa. Nisaidieni jamani.Nipi boko Dar.
Jamani nahitaji msaada wa kazi yoyote ya halali, maana hali ni mbaya kwangu. Niko tayari kwa kazi yoyote, maana ntaisha kwa njaa. Nisaidieni jamani.Nipi boko Dar.
Mzee Wa Republican JF-Expert Member Joined Jul 20, 2013 Posts 1,671 Reaction score 851 Apr 7, 2023 #2 Una elimu kiasi Gani ? Una umri kiasi Gani ? Una ujuzi Gani ?
Mzee Wa Republican JF-Expert Member Joined Jul 20, 2013 Posts 1,671 Reaction score 851 Apr 7, 2023 #3 Hata mawasiliano yako hujaweka