Jamani watanzania mbona tuko hivyo...ina maana hujamuelewa hapo...kwani si amekosea tuu spelling kama basi hata kama hiyo comtuter ambayo computer hukuielewa lakin mbele amefafanua ni mtalaam wa maintanance & repair in software & hardware kama tuna uwezo wa kumsaidia tumsaidie mwenzetu si kuanza maswali utadhani ni jeshini hapa...
edwin all the best nikisikia nitakushutua kaka...naomba ni pm cv yako kwenye personal email...cheers...