Nahitaji Kazi.

2017 No Name

Senior Member
Jul 26, 2017
172
133
Habari wana jamvi. Nakuja mbele yenu kuwasilisha ombi langu hili. Nahitaji kazi, yoyote ya kujiingizia kipatato. Kazi yoyote.
Nilidisco elimu ya juu mwaka wa tatu course ya engineering , na ukizingatia kuwa nilitokea a-level hivyo technically sina profession yoyote.
Nilikua nafanya biashara ya kutembeza vitu, but recently mtaji umekata baada ya kulipa kodi ya chumba.
Nipo dar, sina tatizo lolote la kiafya or ulemavu, jinsia ni ME, ni muaminifu na mchapakazi, mwepesi kujifunza na najua kutumia computer vizuri.
Kama una kazi yoyote inayohitaji msaidizi na unahitaji msaidizi, iwe ya kutumia nguvu or akili or both nicheck PM.
 
Mtoa mada una miaka mingapi? Pia unatafuta kazi ya aina gani...kwa ushauri mdogo hapo uliposema unatafuta kazi ili upate mtaji urudie biashara yako patakukwamisha kupata ajira kwa wakati
 
Mtoa mada una miaka mingapi? Pia unatafuta kazi ya aina gani...kwa ushauri mdogo hapo uliposema unatafuta kazi ili upate mtaji urudie biashara yako patakukwamisha kupata ajira kwa wakati
Nina miaka 25, nimesema kazi yoyote. Sidhani ka naweza nikapata ajira permanent wakati sina cheti cha profession yoyote.
Asante kwa ushauri wako pia. Ngoja niedit.
 
Back
Top Bottom