Nahitaji Kazi Yeyote Kwa Muda

MissM4C

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2012
Posts
1,741
Reaction score
1,006
Wakuuu, I am serious,

I am a Medical Doctor ndo nimemaliza juzi chuo, huku nikingoja Internship mwezi wa 9.

Naomba kazi yeyote popote iwe kutibu or otherwise.
 
Akili huna ww na kma n kweli unahold matokeo ya 5 yr afu unakuja hapa kikuku kuku hvo,,,,, nenda ufipa ukapewe kaz ya kuzunguka na mshumbuz pindi presha inspopanda uwe unaishusha..... Hovyooooi

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Huwezi kutibu huna leseni .. Utakuja kukamatwa .. Usijaribu tena
 
Wakuuu, Im Serious,,,, Im A Medical Doctor ndo Nimemaliza,Juzi Chuo, Huku Nikingoja Internship Mwezi wa 9.... Naomba Kazi Yoyote popote... iwe Kutibu or Otherwise....

Chuo gani hicho...Mbona mapema hivi..?
 
We shenz type kama huna cha kuchangia ni bora ukafunga hilo choo lako..
 
We shenz type kama huna cha kuchangia ni bora ukafunga hilo choo lako..

Hujamuaga mmeo kitandan eeee umefanya kukurupuka tu sio?

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Huwezi kutibu huna leseni .. Utakuja kukamatwa .. Usijaribu tena

Kwanza n chuo gan hko wanamalza mapema hvo?vyuo matokeo yanatoka mwez wa tisa na graduu mwez wa kumi na moja/mbili.,internshp minaaanza mwez wa 10,,,sasa huyu anaesubr ya mwez wa tisa hapo kuna jambo au alifanya sup na. Akashindwa ichomoa dat meanz anasubr wale aliowaacha mwaka wa nne ndo agraduate nao,sasa kukaa mtaani bila pesa ya internship anaona zogo bora ajitangaze huku,TZ bila lesen n ukiukwaj wa sheria na lesen huipat bila fanya kaz kwa vitendo......tulia home kwanza akil ilae sawa we C miss M4C nenda ufipa ukasaidiie kampein kalenda ndugu wenzako maji ya shingo wapo

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Cc: MissM4C jaribu kwenda hospital za goverment, nyingi zina upungufu wa wataalamu. ila kwa sasa wanafunzi wa mwaka wa 4 wamemwagwa sana mahospitalini, kwahiyo utaenda nadhani zile za remote areas sana. try your luck. ukipata kazi pig kwa moyo, fuata maadili kaa mbali na rushwa.
 
Last edited by a moderator:

SIKILIZA mkuu. Sio lazima awe anasubiri graduation. Possibility kubwa ni amepangwa kituo asichokipenda cha internship. So Ana gamble for another intake. Watu na mahesabu. Ifikie mahali tuanze kuheshim choice za wenzetu.

tragedy of the commons
 
Nimemaliza,Juzi Chuo, Huku Nikingoja
Internship Mwezi wa 9....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…