Nme fight sana ,ila nmekosa nmeamua kuleta hapa,then mm n mdada cyo uncle sorry kwa kukrekebshaHizi kazi
Mara nyingi kwenye ofisi za kibalozi,umefight kweli hata kudeki Uncle,
na hizo Post zenu niliona Mara moja tu tangu nizaliwe wizara ya mambo ya nje
Huwezi kupata kwa personality yko ya ukahaba, hiyo profile picha yako tuu inadhihirisha ww ni mtu wa aina gani,binafsi ata ningekuwa na connection sikupi ng'ooooo.Jamani wana JamiiForoms,
Naombeni mwenye ushauri au msaada juu ya hili,
Nina diploma ya international relationship and diplomacy na sasa hivi nipo bachelor ya coz hiyohiyo ndio nipo mwaka wa kwanza, ila sasa nimekosa mkopo mambo ya ada na mahitaj mengine, imekuwa tatizo.
Sasa nahitaji nipate kazi huku nasoma, nitumie cheti changu cha diploma, nishajaribu maeneo mengi kazi ni ngumu, ila kama kuna mtu kasikia mahali kuhusu kazi, nipo tayari kufanya kazi yoyote lengo ni kupta hela ya ada.
Please, wengi watauliza nitasomaje huku nafanya kazi, nitaweza.
yaani kadiploma kako unataka uajiriwe international ngos!Jamani wana JamiiForoms,
Naombeni mwenye ushauri au msaada juu ya hili,
Nina diploma ya international relationship and diplomacy na sasa hivi nipo bachelor ya coz hiyohiyo ndio nipo mwaka wa kwanza, ila sasa nimekosa mkopo mambo ya ada na mahitaj mengine, imekuwa tatizo.
Sasa nahitaji nipate kazi huku nasoma, nitumie cheti changu cha diploma, nishajaribu maeneo mengi kazi ni ngumu, ila kama kuna mtu kasikia mahali kuhusu kazi, nipo tayari kufanya kazi yoyote lengo ni kupta hela ya ada.
Please, wengi watauliza nitasomaje huku nafanya kazi, nitaweza.
na wewe kwenye hiyo avatar inaonesha unaishi kwa shemeji yako (mume wa dada ako) hama haraka sanaAjira ni ngumu aunty, pambana utatoboa,
ila nilisikia kk security wanatangaza kazi cjui utaweza, usiku kazin mchana shule
lengo lla hiyo avatar ni kuvutia sponsors au!?Tatzo nahtaj ela ya ada,cyo nasumbua ndio maana nmesema kaz yyte
alitaka kazi nimemuelekeza fursa ilipo, kuna kosa, au kuna sehemu nimemwambia akajiuze, kk security wana recruit kuna tatizo hapo,lengo lla hiyo avatar ni kuvutia sponsors au!?
utapata.....mungu atakusaidia ili umalize masomo yako salama mrembo....Jamani wana JamiiForoms,
Naombeni mwenye ushauri au msaada juu ya hili,
Nina diploma ya international relationship and diplomacy na sasa hivi nipo bachelor ya coz hiyohiyo ndio nipo mwaka wa kwanza, ila sasa nimekosa mkopo mambo ya ada na mahitaj mengine, imekuwa tatizo.
Sasa nahitaji nipate kazi huku nasoma, nitumie cheti changu cha diploma, nishajaribu maeneo mengi kazi ni ngumu, ila kama kuna mtu kasikia mahali kuhusu kazi, nipo tayari kufanya kazi yoyote lengo ni kupta hela ya ada.
Please, wengi watauliza nitasomaje huku nafanya kazi, nitaweza.
Kwahyo huna connection, mtu akiomba msaada asaidiwe cyo maneno,nawew ipo cku unaweza htaj msaadaHuwezi kupata kwa personality yko ya ukahaba, hiyo profile picha yako tuu inadhihirisha ww ni mtu wa aina gani,binafsi ata ningekuwa na connection sikupi ng'ooooo.