Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,283
- 1,853
Sawa kwa ushauriMtafute Mungu na sio kutafuta kanisa lenye miujiza,
Kuondoa mkono au mikono ya watu ktk maisha magumu na mikosiUnataka miujiza ya nini
Unataka kula Raha au unataka miujiza? Kuwa specificHabari Ndugu zangu wa Jf.
Nahisi kuna mkono wa mtu katika maisha yangu. Nijuzeni kanisa tajwa hapo juu nikapate maombi.
Sijawahi kula raha kama wengine wanavyo faidi maisha haya.
Natanguliza shukurani naomba muongozo.
39Umri wako
Nami naunga mkono kimara temboni ndo habari ya mjini muone kuwan MussaNenda kimara temboni kwa Kuhani na Nabii Mwacha, nasikia ndiyo toleo jipya, Mwamposa wanasema amefulia na ni toleo la zamani.
Wenyewe wanakwambia pale kwa Mwacha ndipo penye ngome ya Yesu.
Nenda ArushaKuondoa mkono au mikono ya watu ktk maisha magumu na mikosi
Ili na yeye ale bata,full kuogelea kwenye majacuz,kidimbwi beach kwa sana,asubuhi aamshwe na supu ya kangaroo 🦘,mashuka meupe kwenye five 🌟 hotels,agonge mvinyo kwa sana na awe na chawa km mondi.. Km Hii miujiza ipo kanisani kwenu mcheki dm,mkishindwana mkatie rufaa aje kanisani kwanguUnataka miujiza ya nini
Life begins at 40 relax, fanya kazi kwa bidii