Nahitaji kampuni nzuri ya bima kwaajili ya Bajaj

gwambali

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
230
Reaction score
76
Habari ndugu zangu.

Kama nilivyoeleza hapo juu nataka kukatia bajaj yangu bima kubwa tatizo sijui ni kampuni gani ya uhakika ambao siyo wa babaishaji pale mteja wao anapopata tatizo lolote.

Naombeni ushauri wenu siangalii wanatoza % ya thamani ya bajaji bali uhakika wa kupewa stahili yangu pale itakapotokea shida yoyote iwe ajali au wizi.

Ahsanteni
 
Mimi niko na jubilee mwaka wa tatu..wajaribu utaniambia!
 
Mkuu hivi bajaji zina range kwenye kiasi gani na bajaji gani hasa nzuri??naomba msaada wako tafadhali....

BAJAJ aina ya TVS KING ni nzuri na imara. Bei yake ni kuanzia 6.8m hadi 7.2m
 
Back
Top Bottom