Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,643
- 4,184
Una shs ngapi?isiwe na tatizo lolote,
Napendelea Nikon CoolPix A100 (Megapixel 20.1)
Kama hii
Ila kama kuna mwenye aina tofauti na hiyo twaweza kuzungumza.
WEWE WAUZA SH. NGAPI?Una shs ngapi? View attachment 470477 View attachment 470477
150, 000 unachukua?Ya kucharge kwa umeme. Nilikuwa sina mpango wa kuiuza ila naweza kukuuzia kama dau lako litanivutia. Charger ipo
WAUZA SH. NGAPI?Ya kucharge kwa umeme. Nilikuwa sina mpango wa kuiuza ila naweza kukuuzia kama dau lako litanivutia. Charger ipo
Ongeza kidogo150, 000 unachukua?
Ongeza kidogo150, 000 unachukua?
170, 000WAUZA SH. NGAPI?
Ofa yangu ni 90,000170, 000
Mhhh. Haitoshi mkuu. Shukran.Ofa yangu ni 90,000
Megapixels ngapi?Swaiba mmi ninayo sony bgs 10 nauza laki na kumi mwisho ipo vzr snaa tu sema upo wapi nikuletee mali