Ask me
Member
- Apr 28, 2015
- 27
- 14
Habari,
Nashukuru nimefika mahala sasa naona matunda ya shamba langu la mifugo...
Nimefanikiwa kufuga kuku,mbuzi,ngo'mbe,kondoo na nguruwe na bata wachache.
Natumia fursa hii kuomba ushauri wenu kuhusu jina linaloweza kuleta mvuto kwenye bidhaa za shambani kwangu kwani sasa nimeanza kufikiria kuhusu kuuza bidhaa za nyama na mayai kwa kutumia vifungashio....
Jina liwe la kiswahili, kimasai ama kingereza ila liwe linawezekana kutamkika na mtu yeyote.Kwa kupata jina nitaweza kufungua account ya shamba,kununua vifungashio vyenye jina la muuzaji etc
MSAADA WENU KWANGU WADAU...jina zuri mauzo mazuri