Habari wanabodi? Kama kichwa cha bandiko hili kisemavyo, nahitaji Iphone 6 plus. Bajeti yangu ni Tshs 400,000/=
Kama kuna mtu anajua chimbo linalouza simu za iPhone kwa huku Kariakoo naomba nifahamishwe wakuu.
Nawatakia wikendi njema na pia karibuni kwa michango.