saks
Member
- Jun 8, 2015
- 47
- 51
Salam wana Jf ,husika na kichwa cha habari hapo juu kampuni ya IT (hugecodes ltd) graduate aliyemaliza kwa ngazi ya degree Sales and Marketing competent and energetic kampuni itampatia allowance,nauli,vocha,na commission katika sales atakazofanya on spot ladies will be given high priority tuma CV kwenye email hii : david@hugecodes.com deadline 3rd March 2017 incase ya maelezo zaidi unaweza ni PM.
Asante..
Asante..