Nahitaji Incubater used Nipo mbeya price 300,000

Nahitaji Incubater used Nipo mbeya price 300,000

pozzyfaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,453
Reaction score
268
Habari jf nahitaji hichi kifaa nipo mbeya kiwe kwenye hali nzuli. mwenye nacho ajitokeze tufanye biashara
 
ipo dar nzima inafanya kaztunaiuza kwa kuwa hakuna wakuitumia. bei ni lak 6
 
nimeweka price tayari ndugu, au yako inauwezo gani
 
ipo dar nzima inafanya kaztunaiuza kwa kuwa hakuna wakuitumia. bei ni lak 6

Ina uwezo wa mayai mangapi kwa wakati mmoja? Ni automatic au Manual? Inatumia umeme au nishati nyingine?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom