nahitaji huduma ya printing for banners

nahitaji huduma ya printing for banners

Mb-one

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
885
Reaction score
1,297
wakuu nahitaji huduma ya printing ya banner kwa affordable price,banner yenyewe iwe na ukubwa wa 260*343,ni coloured ,na iwe na material mazuri,mwenyewe huduma hii naomba ani PM
 
0786786072....samsung printing and solutions.

Jamaa ana bei nzuri na quality fresh utapenda .. Anatoa uhakika kama haujapenda kazi yake hachukui hela. Jamaa freahi sana

Tatizo haongei kisawhili sana . Kingereza anajua.

Kuna jamaa yake anaitwa thomas yeye anajua kiswahili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom