Ninayo TECNO H6 imetulia na nimetimbua mwezi tu na bado recept yake ipo bei 200,000
Lak na 50 nipm
Lak na 50 nipm
Ninayo TECNO H6 imetulia na nimetimbua mwezi tu na bado recept yake ipo bei 200,000
Chukua 160k
Hapana mkuu mwisho 200, Ina mwezi tu nimemtumia na Ina kila kitu chake mpaka recept