Dr Rutagwerera Sr JF-Expert Member Joined Dec 21, 2011 Posts 5,812 Reaction score 11,501 Nov 18, 2017 #1 Nahitaji mwenye nayo au kujua wapi nitaweza kupata housing original ya nokia c2-01. Nimehangaika bila mafanikio. Nikiweka hizi za kichina za elfu 3 button zinakataa kabisa kupiga kazi. Shukrani zangu!
Nahitaji mwenye nayo au kujua wapi nitaweza kupata housing original ya nokia c2-01. Nimehangaika bila mafanikio. Nikiweka hizi za kichina za elfu 3 button zinakataa kabisa kupiga kazi. Shukrani zangu!