Nahitaji hiko kifaa hapo wakuu

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,993
Reaction score
11,878


Kama una duka linauza nipe bei yake na duka lapo lilipo nije kufata leo hii au kesho...
 
Labda kwa sasa viwe vishaingia Tanzanzia... Sijui...

Mara ya mwisho changu kama hicho nilikinunua Dubai...

Ngoja waje, labda vinapatikana hapa tayari...


Cc: mahondaw
 
Ingia instagram kuna page zinatwa thebridge niliona wanavitangaza mkuu utakuta nawasiliano yao pia duka lao liko Tabata Segerea
 
Kampuni ya Tawaqal wazalishaji wa maji ya dew drop sumbawanga huwa wanauza. Simu yao 0776222229
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…