Wakuu salama,
Nahitaji Toyota Hiace kwa ajili ya Biashara.
Ofa yangu Tsh. 16,000,000/=.
Iwe nzima na ambayo haijatumika muda mrefu wala kuchokonolewa na mafundi uchwala.
Manual & diesel.
Iwe imetembea chini ya km 200,000.
Kutumika na kusajiliwa Tanzania isizidi mwaka 1.
Kama ni ya zamani basi tutaangalia hali yake.
Inahitajika haraka.
Kama unayo comment au inbox.