Nahitaji hard copies ya vitabu hivi

Pindi unasubir hardcopy ukiwa na nafasi ebu dondosha hapa hata hizo softcopy mkuu.
 
Hata wanangu hawatofanya, nilijaribu kwenye basi safarini bado kidogo nife. Ila kuna wadau niliwaona wapo fresh tu kusoma.
Kusoma vitabu sio jambo baya ila Kuna mda unajisome tu kawaida....ila mm siwezi nlijatahidi kusoma soma vya database & network nikaona michoso!

Kuna mda pesa inatake over kichwani unachowaza ni ibada & pesa tu
 
Kama mnaweza pigeni zoezi niwape link mkakiwashe Azam Tv watarusha live mpate pesa mm mtanipa commission!
Mimi hata bila ya zoezi, namuangusha huyu nusu albino Half american .
๐Ÿ‘‰Tena wajiunge na mrusi wa mchongo Ivan Stepanov nawa oasua tu๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜ƒ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ