Naomba kujuzwa ni maduka gani yanayouza vifaa hivyo vya ulinzi. Kifaa cha mkononi cha kukagua ikiwa mtu ana bunduki, vilipuzi, visu nk na bastola anapoingia ukumbini, hotelini ama kwenye nyumba za ibada.
Nafahamu utaratibu wote wa namna ya kumiliki silaha, nataka kufahamu zinauzwa wapi, bei yake nk ili ninapofanya utaratibu kila kitu kiwe poa. Asante mkuu
1. Makao makuu ya Jeshi - Ngome Upanga
2. Ukifika clock tower upande wa kulia kama unaenda Askari monument along Samora upande wa kulia (TRA) zunguka nyuma ya hilo jengo kuna duka Tanganyika Arms. . . . . .