cheguevara JF-Expert Member Joined Apr 30, 2012 Posts 1,348 Reaction score 653 Jan 29, 2018 #1 Habarini, Wapi nitapata GPS mashine kwa ajili ya kazi za survey na kupima viwanja na mashamba ya bei ya kati tu. Je aina gani ni nzuri ninayoweza kuanza nayo?
Habarini, Wapi nitapata GPS mashine kwa ajili ya kazi za survey na kupima viwanja na mashamba ya bei ya kati tu. Je aina gani ni nzuri ninayoweza kuanza nayo?
Baba musa333 JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 423 Reaction score 238 Jan 29, 2018 #2 Ngoj waje
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,896 Reaction score 33,069 Jan 29, 2018 #3 Wewe mwenyewe ndio utaitumia? Wewe ni savea mkuu? Au kimsingi unahitaji kupimiwa viwanja na mashamba
srinavas JF-Expert Member Joined Jun 5, 2011 Posts 4,309 Reaction score 4,266 Jan 29, 2018 #4 budget yako ni bei gani?
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 95,783 Reaction score 136,509 Jan 29, 2018 #5 Ukiwa kama surveyor ulitakiwa ujue ni mazima gani wanayoyauza hzo GPS mkuu? Ova
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,806 Reaction score 61,665 Jan 29, 2018 #6 tafuta garmin 62sc, matata sana hii, accuracy ni <5m bei ni kati ya 1.2m mpaka 1.5m achana na zile za bei rahisi utaaribu kazi mkuu, rahisi aghali!
tafuta garmin 62sc, matata sana hii, accuracy ni <5m bei ni kati ya 1.2m mpaka 1.5m achana na zile za bei rahisi utaaribu kazi mkuu, rahisi aghali!