Idrisa1510
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 272
- 423
Nashukuru mkuu, kwa bahati mbaya si aina ya ninalo hitaji.Nina moja la sufi na lingine la pamba, ntakutumia soon. Yote mawili nigee buku saba tu
Usinunue Godoro lilotumika hata siku moja, jitahidi ujichange ukanunue jipya hata kama litakuwa la kiwango cha chini.Habari zenu wakuu.
Nahitaji godoro la size ya 5 kwa 6, 4 kwa 5 au 6 kwa 6. Nimechoka kulalia mkeka, mbavu zinauma.
Likiwa inchi 5 na kuendelea inapendeza.
Sichagui kampuni kikubwa liwe kwenye hali nzuri inayoridhisha.
Offa yangu Tsh 60,000/= mpaka Tsh 80,000/=
LOCATION: DODOMA MJINI
MAWASILIANO: 0743534388 sms/calls/whatsapp
Au PM
Tusaidiane wakuu nipate pakuzipumzisha mbavu.
Natanguliza shukrani.
Kwa nini bossUsinunue Godoro lilotumika hata siku moja, jitahidi ujichange ukanunue jipya hata kama litakuwa la kiwango cha chini.
Unge nipatia na sababu. Hapa ume niacha njia panda.Usinunue Godoro lilotumika hata siku moja, jitahidi ujichange ukanunue jipya hata kama litakuwa la kiwango cha chini.
Habari zenu wakuu.
Nahitaji godoro la size ya 5 kwa 6, 4 kwa 5 au 6 kwa 6. Nimechoka kulalia mkeka, mbavu zinauma.
Likiwa inchi 5 na kuendelea inapendeza.
Sichagui kampuni kikubwa liwe kwenye hali nzuri inayoridhisha.
Offa yangu Tsh 60,000/= mpaka Tsh 80,000/=
LOCATION: DODOMA MJINI
MAWASILIANO: 0743534388
Kama una laki moja njoo uchukue 0656-548919 nipo dodoma mjiniHabari zenu wakuu.
Nahitaji godoro la size ya 5 kwa 6, 4 kwa 5 au 6 kwa 6. Nimechoka kulalia mkeka, mbavu zinauma.
Likiwa inchi 5 na kuendelea inapendeza.
Sichagui kampuni kikubwa liwe kwenye hali nzuri inayoridhisha.
Offa yangu Tsh 60,000/= mpaka Tsh 80,000/=
LOCATION: DODOMA MJINI
MAWASILIANO: 0743534388 sms/calls/whatsapp
Au PM
Tusaidiane wakuu nipate pakuzipumzisha mbavu.
Natanguliza shukrani.
sms/calls/whatsapp

[/QUOTE

Nime kutext whatsapp mkuuKama una laki moja njoo uchukue 0656-548919 nipo dodoma mjini
sms/calls/whatsapp