Nahitaji Girlfriend serious..

mpenda pombe

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Messages
1,352
Points
2,000

mpenda pombe

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2010
1,352 2,000
Natafuta girlfriend serious, mcheshi, mwenye hekima, anamjua Mungu.. Umri kuanzia miaka 20-26..
Nickname isiwatishe ni funny name..
Naishi Mikocheni A, elimu yangu ya Chuo..
Aliye tayari email yangu ni
tru3boy@mig33.com
 

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
16,222
Points
1,500

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
16,222 1,500
kama unataka mke ni PM faster hata mie sitaki mchezo nataka mume anaye mjua mungu ahha nshachoka na vi BF .....
Hapo kwenye blue, ni kwambayeye anataka mahusiano ya casual...girlfriend!, na sio mchumba!...right?
Hapo kwenye red, kwanini ujieleze hivyo?...hayo mtaweza kuongea mkiwa eneo la tukio kama itafaa!
 

Forum statistics

Threads 1,356,355
Members 518,895
Posts 33,130,994
Top