Nahitaji girlfriend jamani

Niamini

New Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Habari zenu, kwanza nitangulize shukurani zenu kwa member ote wa jf, mm ni mgeni umu lakini nilikua naitaji girlfriend umri kuanzia miaka 18-22 mm nipo dar es salaam nimesoma adi kidato cha nne pia nna miaka 21 kwa mawasiliano 0767494944 au bitebo@tigotanzania.blackberry.com
 
umri huo wanapenda pesa kama bank umejiandaeje kwa hilo ??
 

Mi nnae........una sh ngapi nikupe.........?
 

Kwanza jifunze kuandika vizuri ni ,,Nahitaji'' na SIYO ,,Naitaji'', wanawake huwa wanaangalia vitu vidogo kama hivyo, kama unataka kufanikiwa na Wanawake anzia hapo kwanza!
 
umri huo hawajafunga shule wasubirie disemba
 
Ama kweli tumeingiliwa,,,, kwanza hata hodi hujapiga, pili umeingia leo na leo leo unahitaji girlfriend ,,, inaonesha ni jinsi gani ulikuwa ukame,,,,,,,,,,all in all,,,,, all the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…