Mambo,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21, Niko kanda ya kati, nahitaji girl friend wa kuchati, kuwasiliana,ushauri wowote kuhusu maisha, kama upo tayari utani PM.
NB: Ukiongea na mwanamke mwenye hisia za kimapenzi, zaidi ya dk5, inafanya ubongo wa mwanaume kuwa bora zaidi.
Asanteni karibuni sana
Mr. Asubuhi