Nahitaji Gimbal

Nahitaji Gimbal

MfalmewaKiha

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
1,191
Reaction score
1,244
Habari zenu Ndugu zangu, Nahitaj Gimbal ambayo Naweza kuitumia kwenye sim ,Km kuna mtu anajua duka zinako Uzwa Tafadhari Anisaidie,Hasa kwa MWANZA, SHINYANGA NA KAHAMA
images.jpg
 
Back
Top Bottom