Nahitaji gari ndogo kwa 3m.

Nahitaji gari ndogo kwa 3m.

MUTUYAMUNGU

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
1,824
Reaction score
4,385
Wakuu habari zenu nahitaji gari yoyote ndogo kwa 3m siangalii namba wala nini, naangalia ubora wa body na injini tu hata kama ni namba a nitafute cc ianzie 650 hadi 1300, suzuki kei, suzuki swift, vitz n.
 
kuna uzi jamaa anauza magari bila udalali uko huku huku jamii forums mcheki unaweza kupata.
 
Zipo nyingi tu mkuu, kazi kwako
 
WAKUU HABARI ZENU NAHITAJI GARI YOYOTE NDOGO KWA 3M..SIANGALII NAMBA WALA NINI, NAANGALIA UBORA WA BODY NA INJINI TU. HATA KAMA NI NAMMBA A NITAFUTE...CC IANZIE 650 HADI 1300, SUZUKI KEI, SUZUKI SWIFT, VITZ N.

naomba namba yako ya cmu
 
WAKUU HABARI ZENU NAHITAJI GARI YOYOTE NDOGO KWA 3M..SIANGALII NAMBA WALA NINI, NAANGALIA UBORA WA BODY NA INJINI TU. HATA KAMA NI NAMMBA A NITAFUTE...CC IANZIE 650 HADI 1300, SUZUKI KEI, SUZUKI SWIFT, VITZ N.
Pitia link hiyo hapo kupatana (nimekusetia kwa mujibu wa bajeti yako), cheki page ya 1 hadi ya 10 utapata zaidi ya gari 10 zilizo ndani ya bajeti yako na hata chini ya bajeti yako. Kumbuka kufata taratibu zote za manunuzi ikiwemo fundi kukagua gari. Kila la heri!
Used Cars for Sale in Tanzania
 
Check with me
P.M
 
Nakutahadharisha usinunue hayo magari yanayoitwa ya mnada wa bandari kupatana. Utatapeliwa muda si muda
 
Back
Top Bottom