leroy JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 1,622 Reaction score 2,225 Aug 28, 2015 #1 Sifa: -Ukubwa wa kutosha -Namba ianzie 'D' -Cc isizidi 2,000 -Isiwe na historia ya ajali -Isiwe na madeni ya ushuru Mimi niko Dar.
Sifa: -Ukubwa wa kutosha -Namba ianzie 'D' -Cc isizidi 2,000 -Isiwe na historia ya ajali -Isiwe na madeni ya ushuru Mimi niko Dar.
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,805 Aug 28, 2015 #2 Nenda facebook kule kaka ingia kwenye group linaitwa CAR DEALZ TZ Kuna ndinga kibao. Ushindwe wewe tu
Nenda facebook kule kaka ingia kwenye group linaitwa CAR DEALZ TZ Kuna ndinga kibao. Ushindwe wewe tu