Nahitaji Gari kwa Milioni 8

Nahitaji Gari kwa Milioni 8

Yako matoyota mark 2 six mapya kutoka bandarini kwa five m.Pia kuwa makini kuna mengine nimirenge...yaani magari yaliyoibiwa.
 
Wakuu bado sijafanikiwa
 
hivi kwa tsh 6m niliyo nayo
siwezi pata gari nzuri ya kutembelea?
kama ipo kwa bei hiyo please weka picha.
yenye kudaiwa vibari haitakiwi
 
Back
Top Bottom