Vigezo:
-Namba ianzie na 'C',
-Iwe imetembea chini ya km 100,000
-Sina choice ya Make na Model lakini iwe na upana (ukubwa) wa kutosha
-Isiwe na hitilafu yoyote ya kiufundi
-CC zisizidi 2,000
-Isiwe na historia ya ajali.
Nina Toyota Altezza kaka ongeza lakitano nokupe haina tatizo namba ni C .engine capacity ni 1990 na haili mafuta haliyake ni bado mpya ni pm no nikutumie picha