Magari huwezi yaweka na kuyapa bei kwa mafungu. Kuna mahali utapata 1 kwa dola 3000 na kwingine, same model, same year of manufacture, dola 2200. Pia ushuru unatofautiana kulingana na mwaka. Sasa hapo unataka mtu akupe Brevis ya 2002 bei hii, 2003 bei hii, 2005 bei hii! Njia rahisi ni wewe kuingia mtandaoni, tafuta gari, ukilipata, ingia kwenye calculator ya TRA angalia ushuru, makadirio unafanya mwenyewe.