Nahitaji gari kutoka Japan

Gabrier

Member
May 29, 2016
7
3
Wadau habarini,

Nahitaji gari toka nchini Japan. Chaguo ni Mark X , Brevis or Alteza.

Je nitenge kiasi gani kwa ajili ya kupata gari aina hizo?
 
Swali lako bado halijanyooka! Unataka kujua bei ya uko japani au gharama za kulipia hapa bongo?
 
Garama za ayo magari mpaka yanafika bongo makadirio yanafika kiasi gan kwa sasa
 
Garama za ayo magari mpaka yanafika bongo makadirio yanafika kiasi gan kwa sasa
Magari huwezi yaweka na kuyapa bei kwa mafungu. Kuna mahali utapata 1 kwa dola 3000 na kwingine, same model, same year of manufacture, dola 2200. Pia ushuru unatofautiana kulingana na mwaka. Sasa hapo unataka mtu akupe Brevis ya 2002 bei hii, 2003 bei hii, 2005 bei hii! Njia rahisi ni wewe kuingia mtandaoni, tafuta gari, ukilipata, ingia kwenye calculator ya TRA angalia ushuru, makadirio unafanya mwenyewe.
 
Back
Top Bottom