Nahitaji gari Harrier namba C. Ofa 11,000,000

cagu

Member
Oct 27, 2010
79
12
Wandugu nahitaji gari aina ya harrier namba C kwa 11,000,000. Aliyenayo au anayejua mtu anauza anicheck kwa namba 0717441943.Nipo Dar
 
Mhh, kwa hiyo bei labda utapata ya magumashi. Mkuu ongeza dau ili upata gari ya uhakika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom