Nahitaji gari bajet yangu 4.5 mil only

Nahitaji gari bajet yangu 4.5 mil only

uzeebusara

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
657
Reaction score
514
Habari ndugu wanajamii! Nahitaji gari ambayo ina hali nzuri na kuridhisha kwa shughuli za mjini na mara nyingine safari za Dar hadi Tunduma. Regards
 
ninayo cresta gx 100 ongeza bei kidogo altAmUtNO49wxZkSsno1G1rYmZysEVrXnNVb92ofYTYjm9Q.jpgaltAhhnNEMuzUc6ZXENeRbU90gZ_aQtrLbslZnjHQeUcaah.jpgaltAoR84eyy5W0apqsZxcQqMRAU_E1V2j6yna-p3Nr49XB7.jpgaltArPc3vQjYOFu41czBlvSbM7rYQE7b0CalxLgfITSt1ww.jpgaltAvJiT7fWyb1IG2wYUEJNCWniHaaHIkYbOOnqDjTecifJ.jpg kwa mawasiliano zaidi 0716805201
 
Habari ndugu wanajamii! Nahitaji gari ambayo ina hali nzuri na kuridhisha kwa shughuli za mjini na mara nyingine safari za Dar hadi Tunduma. Regards

Ninayo chaser raffine,4S, manual imelipiwa kila kitu i.e start and go! Tatizo nipo kikazi Moro na ninatumia gari la office ambalo nimepewa na hili gari lipo nyumbani Arusha limepaki kwa muda mrefu naona niliuze kwani nitakuwa huku Moro permanently. Picha sina coz nipo mbali na nyumbani (AR) kuna mlinzi tu home. If interested call 0 754 754 593.
 
Poa ngoja niichek ktk net then ntarudi kwako
 
NJOO NIKUUZIE VW BEETLE HUTAJUTA KUWA NAYO,NI NZURI KWA TOWN NA masafa haili mazutu
 
Ipo nissan march

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom